Thursday, 16 December 2010

Happy new Year.


I wish you all Merry Christmas and Happy New Year 2011.

2010 was a great year with a lot of problems and success, so from now on you have to think about what you are going to do in 2011.

Peace should be the important thing to maintain in the new year 2011.

Saturday, 28 August 2010

BALOZI WAMAREKANI NDANI YA ZENJI FM.

Huyu ndie balozi wa Marekani nchini Tanzania Alphonso E. Lenhardt wakati nikimpa maelezo ya jinsi Redio yetu inavyofanyakazi na Jinsi ya watendaji wake wanavyowajibika.

Humu ni ndani ya Studio ya kutangazia ya 96.80 Mhz.

US Ambassador to Tanzania.


The US Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt when he visit Zenji Fm Radio and here he was receiving the information on how Zenji Fm works.
I was responsible to explain to him. After he visit he made an interview with him.

His visiting wan on August 2010.

Thursday, 17 June 2010

MTAMBO WA GESI UTOKANAO NA TAKA. TAKA



Wenzetu kule jijini Dar es salaam kwa siku nyingi tu maeneo ya Mtoni Kwa Azizi Ali, sehemu ambayo ilikuwa na jaa la taka taka wametengeneza mtambo wa kuzalisha gesi ili kuzuia uchafuzi wa mazingira.

Licha ya kwamba gesi hiyo bado haijaanza kufanyiwa kazi muhimu lakini kwa kiasi kikubwa mno wameacha kuchafua mazingira kwa kuiunguza ile gesi ambayo inazalishwa kutoka katika eneo hilo lililokuwa maarugu kwa uchafuzi huo wa mazingira.

Nalo baraza la manispaa la Zanzibar linampango wa kufanya hivyo katika jaa lake lililopo Jumbi nje kidogo ya mji wa Zanzibar.

hizi ni baadhi tu ya picha za mtambo huo uliopo jijini Dar es salaam kwa Aziz Ali.

Thursday, 10 June 2010

Nusu Mwaka imekwisha.


Tumeingia kwenye mwezi wa sita ni nusu ya Mwaka hivyo naamini nusu ya matarajio na malengo yetu huenda yakawa yametimia. Sasa tunakwenda kwenye sehemu nyingine ya mwaka. Swali Jee! Tumejiandaaje? Unaponiona naelekea kwenye nusu mwaka iliyobakia tena nikiwa na haraka kubwa sana. Huko nnakokwenda kuna uchaguzi mkuu wa Tanzania, serikali ya pamoja ya SMZ na hivi karibuni naanza na kombe la dunia litakalofanyika kwa mara ya kwanza Barani Afrika.
Naamini tutafika pamoja, kwa hivyo tuwe sote.
Heri ya nusu mwaka.

Wednesday, 28 April 2010

Ask any Question about Zanzibar you will get information.

I hope you are all fine wherever you are. I decide to let you ask any question about Zanzibar and Tanzania in General I will try to find the answer for you.

If there will be any father comments you will write to me via my personal email. hafidhkassim@yahoo.co.uk

I hope you will enjoy your day.