Tuesday, 10 November 2009

Ni Zebra Cross ama michoro tu.


Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikishughulishwa na mfumo wa udereva wa Hapa kwetu Zanzibar juu ya kuthamini alama za bara barani.

Kwa mfano hapa nimeandaa picha hii inayowaonyesha watu wanaotembea kwa miguu wakiwa wanavuka kwenye Zebra Cross lakini wakati huo huo madereva nao wanapitisha gari zao bila hata ya kujali ni alama gani iliyopo eneo hilo.

No comments:

Post a Comment